Facebook Pixel LPesa
 

SASA UNAWEZA KUREJESHA MKOPO WAKO WOTE KWA MUAMALA MMOJA TU

SASA UNAWEZA KUREJESHA MKOPO WAKO WOTE KWA MUAMALA MMOJA TU
Ikiwa unataka kukua haraka kimkopo kwa kurejesha mkopo uliochukua, sasa tumekuwezesha kufanya rejesho lote la mkopo kwa muamala mmoja tu.
JINSI YA KUFANYA
Ingia kwenye akaunti yako ya L-PESA, nenda kwenye “loan plans”, shuka chini mpaka ilipo orodha ya mikopo. Juu ya orodha ya mikopo kuna jedwali lenye taarifa za mkopo uliokwisha chukua. Ndani ya jedwali hilo kuna alama ya jicho. Bofya kwenye jicho ili kwenda kwenye ukurasa wenye taarifa kamili za mkopo wako. Ukiwa hapo, shuka chini mpaka kwenye “payback schedule” . Ndani ya jedwali la payback schedule kwa juu utaona kitufe cha kijani kilichoandikwa “Pay Full Amount”. Bofya kwenye “Pay Full Amount” ili mfumo ukuruhusu kufanya rejesho lote la mkopo kwa mara moja. Utapokea SMS yenye taarifa zote unazohitaji kwa ajili ya kufanyia muamala wa marejesho. Ingia kwenye TigoPesa kukamilisha rejesho lako.