Facebook Pixel LPesa
 

JINSI YA KUFANYA MAREJESHO KUPITIA VODACOM M-PESA

Piga *150*00#, orodha itafunguka, chagua #4 (Lipa kwa M-Pesa) kisha tuma. Kwenye orodha inayofuata, chagua #4 (Weka nambari ya Kampuni), hapa utaweka namba ya L-Pesa ambayo ni 259797 kisha tuma. Baada ya hapo, weka nambari ya kumbukumbu (nambari rejea ya mkopo wako ndiyo nambari ya kumbukumbu),halafu, weka kiasi unacholipa na kamilisha muamala kwa kuweka namba yako ya siri ya M-Pesa halafu thibitisha muamala.